INFRASTRUCTURES

MIUNDOMBINU YA SHULE

Kafulusu Sekondari ina walimu wa kutosha kwa kila somo,mazingira mazuri tulivu kwa ajili ya kusomea, Maabara ya kisasa,maktaba yenye vitabu vya kiada na ziada kwa masomo yote,Madarasa bora na yakutosha kwa wanafunzi kusoma kwa utulivu,pia huduma za maji safi na salama ya uhakika(Kutoka Bombani),umeme wa uhakika kutoka Tanesco na Solar.

SCHOOL'S INFRASTRUCTURES


Kafulusu Secondary has good infrastructures that facilitate provision of quality and standard education for students.These infrastructures includes standard classrooms,library with full of educational books for all subjects,laboratories full of special apparatus for doing different experiments,reliable clean water and electricity and well qualified teachers who are capable of teaching students at an accepted level.

Maabara (Laboratory)


Maktaba(Library)

No comments:

Post a Comment