Welcome to Kafulusu Secondary School Official Blog.. "Discipline for Academic Excellence"
Saturday, August 11, 2018
KARIBU KAFULUSU
Uongozi wa Shule ya sekondari Kafulusu unapenda kuwakaribisha wazazi ambao mnatafuta shule sahihi kwa ajili ya elimu bora kujiunga na Kafulusu Sekondari ambayo ni shule inayoweza kutoa elimu inayokidhi vigezo bora kwa ajili ya kuzikamilisha ndoto za mwanao .Pia kwa mwanafunzi unaetafuta shule kwa ajili ya elimu bora Kafulusu Sekondari ni chaguo zuri kwako.
Labels:
Karibu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment