Shule ya sekondari Kafulusu iliyopo Visiga Madafu inawatangazia nafasi za masomo kwa pre form one kuanzia tarehe 10/9/2018-20/12/2018 pia kuna nafasi za kidato cha kwanza kwa mwaka 2019 pamoja na za kuhamia. Wahi nafasi ni chache .
Kwa mawasiliano zaidi piga 0762 262467/0713 577876 au 0675 128128
No comments:
Post a Comment